Wakolosai 1:7
Wakolosai 1:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mlijifunza juu ya neema ya Mungu kutoka kwa Epafra, mtumishi mwenzetu, ambaye ni mfanyakazi mwaminifu wa Kristo kwa niaba yetu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kama mlivyofundishwa na Epafra, mwenzi wetu mpendwa, aliye mhudumu mwaminifu wa Kristo kwa ajili yenu
Shirikisha
Soma Wakolosai 1