Wakolosai 1:3-4
Wakolosai 1:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Daima tunamshukuru Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, wakati tunapowaombea. Maana tumesikia juu ya imani yenu kwa Kristo Yesu na juu ya mapendo yenu kwa watu wote wa Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Twamshukuru Mungu, Baba yake Bwana wetu Yesu Kristo, siku zote tukiwaombea; tangu tuliposikia habari za imani yenu katika Kristo Yesu, na upendo mlio nao kwa watakatifu wote
Shirikisha
Soma Wakolosai 1