Wakolosai 1:29
Wakolosai 1:29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami najitaabisha kwa neno lilo hilo, nikijitahidi kwa kadiri ya kutenda kazi kwake atendaye kazi ndani yangu kwa nguvu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa madhumuni hayo mimi nafanya kazi na kujitahidi nikiitumia nguvu kuu ya Kristo ifanyayo kazi ndani yangu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami najitaabisha kwa neno lilo hilo, nikijitahidi kwa kadiri ya kutenda kazi kwake atendaye kazi ndani yangu kwa nguvu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1