Wakolosai 1:27
Wakolosai 1:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu ametaka kuwajulisha hao jinsi siri hiyo ilivyo kuu na tukufu ambayo imeenea kwa watu wa mataifa, nayo ndiyo hii: Kristo yuko ndani yenu, na jambo hilo lamaanisha kwamba nyinyi mtaushiriki utukufu wa Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambao Mungu alipenda kuwajulisha jinsi ulivyo utajiri wa utukufu wa siri hii katika Mataifa, nao ni Kristo ndani yenu, tumaini la utukufu
Shirikisha
Soma Wakolosai 1