Wakolosai 1:22
Wakolosai 1:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa, kwa kifo cha Mwanae aliyeishi hapa duniani, Mungu amewapatanisha naye, kusudi awaweke mbele yake mkiwa watakatifu, safi na bila lawama.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
katika mwili wa nyama yake, kwa kufa kwake, ili awalete ninyi mbele zake, watakatifu, wasio na mawaa wala lawama
Shirikisha
Soma Wakolosai 1