Wakolosai 1:21
Wakolosai 1:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo kwanza nyinyi pia mlikuwa mbali na Mungu na mlikuwa maadui zake kwa sababu ya fikira zenu na matendo yenu maovu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ninyi, mliokuwa hapo kwanza mmetengwa, tena adui katika nia zenu, kwa matendo yenu mabaya, amewapatanisha sasa
Shirikisha
Soma Wakolosai 1