Wakolosai 1:20
Wakolosai 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwake vitu vyote vilipatanishwa na Mungu: Na kwa damu yake msalabani akafanya amani na vitu vyote duniani na mbinguni.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na kwa yeye kuvipatanisha vitu vyote na nafsi yake akiisha kufanya amani kwa damu ya msalaba wake; kwa yeye, ikiwa ni vitu vilivyo juu ya nchi, au vilivyo mbinguni.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1