Wakolosai 1:18
Wakolosai 1:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Yeye ni kichwa cha mwili wake, yaani kanisa; yeye ni chanzo cha uhai wa huo mwili. Yeye ndiye mwanzo, mzaliwa wa kwanza aliyefufuliwa kutoka kwa wafu, ili awe na nafasi ya kwanza katika vitu vyote.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye ndiye kichwa cha mwili, yaani, cha kanisa; naye ni mwanzo, ni mzaliwa wa kwanza katika wafu, ili kwamba awe mtangulizi katika yote.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1