Wakolosai 1:12-13
Wakolosai 1:12-13 Biblia Habari Njema (BHN)
Na kwa furaha mshukuruni Baba, aliyewawezesha nyinyi kuwa na sehemu yenu katika mambo yale aliyowawekea watu wake katika ufalme wa mwanga. Yeye alituokoa katika nguvu ya giza, akatuleta salama katika ufalme wa Mwanae mpenzi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:12-13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru. Naye alituokoa kutoka kwa nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wake mpendwa
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:12-13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru. Naye alituokoa katika nguvu za giza, akatuhamisha na kutuingiza katika ufalme wa Mwana wa pendo lake
Shirikisha
Soma Wakolosai 1