Wakolosai 1:12
Wakolosai 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Na kwa furaha mshukuruni Baba, aliyewawezesha nyinyi kuwa na sehemu yenu katika mambo yale aliyowawekea watu wake katika ufalme wa mwanga.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkimshukuru Baba, aliyewastahilisha kupokea sehemu ya urithi wa watakatifu katika nuru.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1