Wakolosai 1:10
Wakolosai 1:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo mtaweza kuishi kama anavyotaka Bwana na kutenda daima yanayompendeza. Maisha yenu yatakuwa yenye matunda ya kila namna ya matendo mema na mtazidi kukua katika kumjua Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 1Wakolosai 1:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mwenende kama ulivyo wajibu wenu kwa Bwana, mkimpendeza kabisa; mkizaa matunda kwa kila kazi njema, na kuzidi katika maarifa ya Mungu
Shirikisha
Soma Wakolosai 1