Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:35-36 - Compare All Versions

Matendo 27:35-36 BHN (Biblia Habari Njema)

Baada ya kusema hivyo, Paulo alichukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega, akaanza kula. Hapo wote wakapata moyo, nao pia wakala chakula.

Shirikisha
Matendo 27 BHN

Matendo 27:35-36 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Alipokwisha kusema hayo akatwaa mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote akaumega akaanza kula. Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe.

Shirikisha
Matendo 27 SRUV

Matendo 27:35-36 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Alipokwisha kusema hayo akatwaa mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote akaumega akaanza kula. Ndipo wakachangamka wote, wakala chakula wenyewe.

Shirikisha
Matendo 27 SUV

Matendo 27:35-36 NEN (Neno)

Baada ya kusema maneno haya, Paulo akachukua mkate, akamshukuru Mungu mbele yao wote, akaumega akaanza kula. Ndipo wote wakatiwa moyo, wakaanza kula chakula.

Shirikisha
Matendo 27 NEN