2 Timotheo 2:3-4
2 Timotheo 2:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Shiriki katika mateso kama askari mwaminifu wa Kristo Yesu. Mwanajeshi vitani hujiepusha na shughuli za maisha ya kawaida, ili aweze kumpendeza mkuu wa jeshi.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 22 Timotheo 2:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ushiriki taabu pamoja nami, kama askari mwema wa Kristo Yesu. Askari aliye vitani hajiingizi katika shughuli za dunia, maana lengo lake ni kumpendeza yeye aliyemweka kuwa askari.
Shirikisha
Soma 2 Timotheo 2