2 Wathesalonike 2:8
2 Wathesalonike 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo ndipo Mwovu atakapotokea; lakini Bwana Yesu anapokuja atamuua kwa pumzi ya kinywa chake na kumwangamiza kwa mngao wa kuja kwake.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 22 Wathesalonike 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hapo ndipo atakapofunuliwa yule mwasi, ambaye Bwana Yesu atamwua kwa pumzi ya kinywa chake, na kumwangamiza kwa dhihirisho la kuja kwake
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 2