2 Wathesalonike 2:2
2 Wathesalonike 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
msifadhaike upesi moyoni, na wala msitiwe wasiwasi kwa sababu ya madai kwamba siku ya Bwana imekwisha fika. Labda inadhaniwa kwamba jambo hili limetokana na uaguzi fulani, mahubiri au barua inayosemekana kuwa imetoka kwetu.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 22 Wathesalonike 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwamba msifadhaishwe upesi hata kuiacha nia yenu, wala msishtushwe, kwa roho, wala kwa neno, wala kwa barua inayodhaniwa kuwa ni yetu, kana kwamba siku ya Bwana imekwisha kuwapo.
Shirikisha
Soma 2 Wathesalonike 2