2 Wafalme 6:33
2 Wafalme 6:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Kabla hata hajamaliza kusema, mfalme akafika, akasema, “Msiba huu umetoka kwa Mwenyezi-Mungu! Kwa nini niendelee kumngojea tena?”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 62 Wafalme 6:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata alipokuwa katika kusema nao, tazama, yule aliyetumwa akamshukia; naye akasema, Angalia, mabaya haya yatoka kwa BWANA; kwani mimi kumngojea BWANA tena?
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 6