Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 6:33

2 Wafalme 6:33 NENO

Alipokuwa angali bado anazungumza nao, mjumbe akamfikia. Naye mfalme akasema, “Maafa haya yanatoka kwa BWANA. Kwa nini niendelee kumngoja BWANA zaidi?”