2 Wafalme 20:6
2 Wafalme 20:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakuongezea miaka kumi na mitano ya kuishi. Nitakuokoa wewe pamoja na mji huu mikononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu kwa ajili ya heshima yangu mimi na kwa ajili ya mtumishi wangu Daudi.”
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 202 Wafalme 20:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena, nitazizidisha siku zako, kiasi cha miaka kumi na mitano, nami nitakuokoa wewe, na mji huu, na mkono wa mfalme wa Ashuru, nami nitaulinda mji huu kwa ajili yangu, na kwa ajili ya Daudi, mtumishi wangu.
Shirikisha
Soma 2 Wafalme 20