Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wafalme 20:6

2 Wafalme 20:6 NENO

Nitakuongezea miaka kumi na tano katika maisha yako. Nami nitakuokoa wewe pamoja na mji huu kutoka mkononi mwa mfalme wa Ashuru. Nitaulinda mji huu kwa ajili yangu, na kwa ajili ya mtumishi wangu Daudi!’ ”