Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

2 Wakorintho 4:1 - Compare All Versions

2 Wakorintho 4:1 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, Mungu, kwa huruma yake, ametukabidhi kazi hii na hivyo hatufi moyo.

2 Wakorintho 4:1 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kwa sababu hiyo, kwa kuwa tuna huduma hii, kwa jinsi tulivyopata rehema, hatulegei

2 Wakorintho 4:1 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kwa sababu hiyo, kwa kuwa tuna huduma hii, kwa jinsi tulivyopata rehema, hatulegei

2 Wakorintho 4:1 NEN (Neno)

Kwa hiyo, kwa kuwa tuna huduma hii kwa rehema za Mungu, hatukati tamaa.