2 Wakorintho 3:3
2 Wakorintho 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ni dhahiri kwamba nyinyi ni barua ya Kristo aliyoipeleka kwa mikono yetu. Barua yenyewe imeandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; imeandikwa si juu ya kipande cha jiwe, bali juu ya mioyo ya watu.

2 Wakorintho 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mnadhihirishwa kwamba mmekuwa barua ya Kristo tuliyoiandaa, iliyoandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; si katika vibao vya mawe, ila katika vibao ambavyo ni mioyo ya nyama.
2 Wakorintho 3:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mnadhihirishwa kwamba mmekuwa barua ya Kristo tuliyoikatibu, iliyoandikwa si kwa wino, bali kwa Roho wa Mungu aliye hai; si katika vibao vya mawe, ila katika vibao ambavyo ni mioyo ya nyama.
2 Wakorintho 3:3 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Nanyi mwadhihirisha wazi kwamba ninyi ni barua inayotoka kwa Kristo, matokeo ya huduma yetu, ambayo haikuandikwa kwa wino bali kwa Roho wa Mungu aliye hai, si katika vibao vya mawe, bali katika vibao ambavyo ni mioyo ya wanadamu.