2 Mambo ya Nyakati 7:9
2 Mambo ya Nyakati 7:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Hata siku ya nane wakaita kusanyiko la makini; kwa maana walishika kuitakasa madhabahu siku saba, na sikukuu siku saba.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku ya nane, walikusanyika wakafanya ibada maalumu baada ya muda wa siku saba walizotumia kuitakasa meza ya matoleo ya sadaka, na siku saba nyingine za sikukuu.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku ya nane wakaita kusanyiko la makini; kwa maana waliadhimisha kuitakasa madhabahu siku saba, na sikukuu siku saba.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7