2 Mambo ya Nyakati 7:5
2 Mambo ya Nyakati 7:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Solomoni alimtolea Bwana ng'ombe 22,000 na kondoo 120,000. Hivyo ndivyo Solomoni na watu wote walivyoiweka wakfu nyumba ya Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme Sulemani akatoa sadaka ya ng'ombe elfu ishirini na mbili, na kondoo elfu mia moja na ishirini. Ndivyo mfalme na watu wote walivyoifanya wakfu nyumba ya Mungu.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7