2 Mambo ya Nyakati 7:13
2 Mambo ya Nyakati 7:13 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“Nitakapofunga mbingu ili isiwepo mvua, au nikiamuru nzige kula mazao ya nchi au nikituma tauni miongoni mwa watu wangu
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Nikiwanyima mvua ama nikiwaletea nzige wale mimea yao au wakipatwa na maradhi mabaya
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nikizifunga mbingu isiwepo mvua, tena nikiamuru nzige kula nchi, au nikiwatumia watu wangu tauni
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7