2 Mambo ya Nyakati 7:1
2 Mambo ya Nyakati 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Solomoni alipomaliza sala yake, moto ulishuka kutoka mbinguni na kuchoma sadaka na tambiko za kuteketeza zilizotolewa, kisha utukufu wa Mwenyezi-Mungu ukaijaza nyumba.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 72 Mambo ya Nyakati 7:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Sulemani alipomaliza maombi hayo, moto ukashuka kutoka mbinguni, ukateketeza sadaka ya kuteketezwa na dhabihu; utukufu wa BWANA ukaijaza nyumba.
Shirikisha
Soma 2 Mambo ya Nyakati 7