1 Timotheo 2:6
1 Timotheo 2:6 Biblia Habari Njema (BHN)
ambaye alijitoa mwenyewe kuwakomboa watu wote. Huo ulikuwa uthibitisho, wakati ufaao ulipowadia, kwamba Mungu anataka kuwaokoa watu wote.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ambaye alijitoa mwenyewe kuwa ukombozi kwa ajili ya wote, utakaoshuhudiwa kwa majira yake.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2