1 Timotheo 2:3-4
1 Timotheo 2:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Jambo hili ni jema na lampendeza Mungu Mwokozi wetu, ambaye anataka watu wote waokolewe na wapate kuujua ukweli.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2