1 Timotheo 2:2
1 Timotheo 2:2 Biblia Habari Njema (BHN)
kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani pamoja na uchaji wa Mungu na mwenendo mwema.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2