1 Timotheo 2:14-15
1 Timotheo 2:14-15 Biblia Habari Njema (BHN)
Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu. Hata hivyo, mwanamke ataokolewa kwa kupata watoto, kama akidumu katika imani, upendo, utakatifu na unyofu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:14-15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa. Lakini ataokolewa kwa kuzaa kwake, kama wakidumu katika imani na upendo na utakaso, pamoja na moyo wa kiasi.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2