1 Timotheo 2:14
1 Timotheo 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2