1 Timotheo 2:13-14
1 Timotheo 2:13-14 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Adamu aliumbwa kwanza, halafu Hawa. Na wala si Adamu aliyedanganywa; bali mwanamke ndiye aliyedanganywa, akaivunja sheria ya Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 21 Timotheo 2:13-14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana Adamu ndiye aliyeumbwa kwanza, na Hawa baadaye. Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
Shirikisha
Soma 1 Timotheo 2