1 Samueli 23:14
1 Samueli 23:14 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi Daudi alikuwa akikaa nyikani ngomeni, akakaa katika nchi ya milima milima kwenye nyika ya Zifu. Naye Sauli alikuwa akimtafuta kila siku, lakini Mungu hakumtia mikononi mwake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 231 Samueli 23:14 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Daudi akakaa katika ngome za jangwani na katika vilima vya Jangwa la Zifu. Siku baada ya siku Sauli aliendelea kumsaka, lakini Mungu hakumtia Daudi mkononi mwake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 231 Samueli 23:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Daudi alibaki ngomeni jangwani, katika nchi ya milima ya mbuga za Zifu. Shauli alimtafuta kila siku, lakini Mungu hakumtia Daudi mikononi mwa Shauli.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 231 Samueli 23:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Daudi alikuwa akikaa nyikani ngomeni, akakaa katika nchi ya milima milima kwenye nyika ya Zifu. Naye Sauli alikuwa akimtafuta kila siku, lakini Mungu hakumtia mikononi mwake.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 23