1 Samueli 17:45
1 Samueli 17:45 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Daudi akamwambia Goliathi, “Wewe unanijia kwa upanga, mkuki na sime. Lakini mimi ninakujia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa majeshi, Mungu wa askari wa Israeli, ambaye wewe umemtukana.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 171 Samueli 17:45 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Daudi akamwambia yule Mfilisti, Wewe unanijia mimi na upanga, na fumo, na mkuki, bali mimi ninakujia wewe kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli uliowatukana.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 17