1 Samweli 17:45
1 Samweli 17:45 NENO
Daudi akamwambia yule Mfilisti. “Wewe unanijia na upanga, mkuki na fumo, lakini mimi ninakujia kwa jina la BWANA wa majeshi, Mungu wa majeshi ya Israeli, ambaye wewe umemtukana.