1 Samueli 11:1
1 Samueli 11:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha mfalme Nahashi wa Waamoni, alikwenda na kuuzingira mji wa Yabesh-gileadi. Wakazi wa mji wa Yabesh-gileadi wakamwambia Nahashi, “Fanya mapatano nasi, nasi tutakutumikia.”
Shirikisha
Soma 1 Samueli 111 Samueli 11:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, kama baada ya mwezi mmoja, Nahashi, Mwamoni, akakwea na kupiga kambi juu ya Yabesh-gileadi; na watu wote wa Yabeshi wakamwambia Nahashi, Fanya mapatano nasi, na sisi tutakutumikia.
Shirikisha
Soma 1 Samueli 11