1 Samueli 10:22 - Compare All Versions
1 Samueli 10:22 BHN (Biblia Habari Njema)
Wakamwuliza Mungu tena, “Je, kuna mtu zaidi anayekuja?” Mwenyezi-Mungu akawajibu, “Anajificha kwenye mizigo.”
Shirikisha
1 Samueli 10 BHN1 Samueli 10:22 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakazidi kumwuliza BWANA, Amebaki mtu asiyekuja huku bado? Naye BWANA akajibu, Tazama, amejificha penye mizigo.
Shirikisha
1 Samueli 10 SUV1 Samueli 10:22 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Basi wakazidi kumwuliza BWANA, Amebaki mtu asiyekuja huku bado? Naye BWANA akajibu, Tazama, amejificha kwenye mizigo.
Shirikisha
1 Samueli 10 SRUV1 Samueli 10:22 NEN (Neno)
Wakazidi kuuliza kwa BWANA, “Je, huyo mtu amekwisha kufika hapa?” Naye BWANA akasema, “Ndiyo, amejificha kwenye mizigo.”
Shirikisha
1 Samueli 10 NEN