1 Samweli 10:22
1 Samweli 10:22 NEN
Wakazidi kuuliza kwa BWANA, “Je, huyo mtu amekwisha kufika hapa?” Naye BWANA akasema, “Ndiyo, amejificha kwenye mizigo.”