1 Petro 5:3
1 Petro 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwatawale kwa mabavu hao waliowekwa chini ya ulinzi wenu, bali muwe mfano kwa hilo kundi.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala si kama wajifanyao mabwana wa wale walio chini ya utunzaji wao, bali iweni mifano kwa lile kundi.
Shirikisha
Soma 1 Petro 5