1 Petro 5:10
1 Petro 5:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mkisha teseka muda mfupi, Mungu aliye asili ya neema yote na ambaye anawaiteni kuushiriki utukufu wake wa milele katika kuungana na Kristo, yeye mwenyewe atawakamilisheni na kuwapeni uthabiti, nguvu na msingi imara.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele katika Kristo, mkiisha kuteswa kwa muda kidogo, yeye mwenyewe atawaimarisha, atawathibitisha, atawatia nguvu na kuwapa msingi imara.
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na Mungu wa neema yote, aliyewaita kuingia katika utukufu wake wa milele katika Kristo, mkiisha kuteswa kwa muda kidogo, yeye mwenyewe atawatengeneza, na kuwathibitisha, na kuwatia nguvu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 5