1 Petro 5:1
1 Petro 5:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nawasihi wazee walio kwenu, mimi niliye mzee, mwenzi wao, na shahidi wa mateso ya Kristo, na mshirika wa utukufu utakaofunuliwa baadaye
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi mzee miongoni mwenu wazee wenzangu, mimi ambaye nilishuhudia mateso ya Kristo na kushiriki ule utukufu utakaofunuliwa, nawasihini
Shirikisha
Soma 1 Petro 51 Petro 5:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawasihi wazee walio kwenu, mimi niliye mzee, mwenzi wao, na shahidi wa mateso ya Kristo, na mshirika wa utukufu utakaofunuliwa baadaye
Shirikisha
Soma 1 Petro 5