1 Petro 3:9
1 Petro 3:9 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Msilipe ovu kwa ovu, au jeuri kwa jeuri, bali barikini, kwa maana hili ndilo mliloitiwa ili mpate kurithi baraka.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Msiwalipe watu ovu kwa ovu, au tusi kwa tusi; bali watakieni baraka, maana nyinyi mliitwa na Mungu mpate kupokea baraka.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu; bali wenye kubariki; kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
watu wasiolipa baya kwa baya, au laumu kwa laumu; bali wenye kubariki; kwa sababu hayo ndiyo mliyoitiwa ili mrithi baraka.
Shirikisha
Soma 1 Petro 3