1 Petro 3:8
1 Petro 3:8 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Hatimaye, ninyi nyote kuweni na nia moja, wenye kuhurumiana, mkipendana kama ndugu, mkijaliana, na wanyenyekevu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwisho nasema hivi: Mnapaswa kuwa na moyo mmoja, na fikira moja; mnapaswa kupendana kindugu, kuwa wapole na wanyenyekevu nyinyi kwa nyinyi.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno la mwisho ni hili; muwe na nia moja, wenye kuhurumiana, wenye kupendana kama ndugu, wasikitikivu, wanyenyekevu
Shirikisha
Soma 1 Petro 3