1 Petro 3:4
1 Petro 3:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:4 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Badala yake, kujipamba kwenu kuwe katika utu wenu wa moyoni, yaani uzuri usioharibika wa roho ya upole na utulivu, ambayo ni ya thamani sana machoni pa Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Bali, uzuri wenu unapaswa kutokana na hali ya ndani ya utu wa kweli, uzuri usioharibika wa wema na utulivu wa roho, ambao ni wa thamani kubwa mbele ya Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
bali kuwe utu wa moyoni usioonekana, katika mapambo yasiyoharibika; yaani, roho ya upole na utulivu, iliyo ya thamani kuu mbele za Mungu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 3