1 Petro 3:3
1 Petro 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika kujipamba kwenu msitegemee mambo ya njenje, kama vile mitindo ya kusuka nywele, kujivalia vitu vya dhahabu na nguo maridadi.
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi
Shirikisha
Soma 1 Petro 3