1 Petro 3:1
1 Petro 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Nanyi wake, jiwekeni chini ya mamlaka ya waume zenu, ili kama wako waume wowote wasioamini neno la Mungu, wapate kuamini kwa kuuona mwenendo wenu. Haitakuwa lazima kwenu kusema neno
Shirikisha
Soma 1 Petro 31 Petro 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kadhalika ninyi wake, watiini waume zenu; kusudi, ikiwa wako wasioliamini Neno, wavutwe kwa mwenendo wa wake zao, pasipo lile Neno
Shirikisha
Soma 1 Petro 3