1 Petro 1:4
1 Petro 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)
na hivyo tunatazamia kupata baraka zile ambazo Mungu aliwawekea watu wake. Mungu amewawekeeni baraka hizo mbinguni ambako haziwezi kuoza, au kuharibika, au kufifia.
Shirikisha
Soma 1 Petro 11 Petro 1:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tupate na urithi usioharibika, usio na uchafu, usionyauka, uliotunzwa mbinguni kwa ajili yenu.
Shirikisha
Soma 1 Petro 1