1 Petro 1:3
1 Petro 1:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Asifiwe Mungu na Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Kwa huruma yake kuu alitufanya tuzaliwe upya kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Ametujalia tumaini lenye uhai
Shirikisha
Soma 1 Petro 11 Petro 1:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa rehema zake nyingi alituzaa mara ya pili ili tupate tumaini lenye uzima kwa kufufuka kwake Yesu Kristo katika wafu
Shirikisha
Soma 1 Petro 11 Petro 1:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo, ambaye kwa rehema zake nyingi alituzaa mara ya pili ili tupate tumaini lenye uzima kwa kufufuka kwake Yesu Kristo katika wafu
Shirikisha
Soma 1 Petro 1