1 Petro 1:24-25
1 Petro 1:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kama Maandiko yasemavyo: “Kila binadamu ni kama majani, na utukufu wake wote ni kama ua la majani. Majani hunyauka na maua huanguka. Lakini neno la Bwana hudumu milele.” Neno hilo ni hiyo Habari Njema mliyohubiriwa.

1 Petro 1:24-25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana, Mwili wote ni kama majani, Na fahari yake yote ni kama ua la majani. Majani hukauka na ua lake huanguka; Bali Neno la Bwana hudumu hata milele. Na neno hilo ni neno lile jema lililohubiriwa kwenu.
1 Petro 1:24-25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)