1 Wafalme 6:8
1 Wafalme 6:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mlango wa kuingilia sehemu ya chini ya jengo lililoongezwa ubavuni mwa nyumba, ulikuwa upande wa kusini. Ndani, mlikuwa na ngazi ambayo watu waliweza kupanda ili kwenda ghorofa ya katikati na ya mwisho.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 61 Wafalme 6:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mlango wa vyumba vya chini ulikuwapo upande wa kulia wa nyumba; mtu hupanda ngazi za kuzunguka mpaka vyumba vya katikati, na kutoka vile vya katikati mpaka vile vya tatu.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 6