1 Wafalme 6:27-28
1 Wafalme 6:27-28 Biblia Habari Njema (BHN)
Sanamu hizo zilikuwa sambamba, zikiwa na mabawa yaliyokunjuliwa: Bawa la mmoja likigusa ukuta mmoja, na bawa la mwingine likigusa ukuta wa pili, huku yale mengine yaligusana katikati ya chumba. Nazo sanamu hizo alizipamba kwa dhahabu.
1 Wafalme 6:27-28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akayaweka hayo makerubi katika nyumba ya ndani; na mabawa ya makerubi yakanyoshwa, bawa la moja likafika ukutani huko, na bawa la kerubi la pili likafika ukutani huko; mabawa yao yakagusana katikati ya nyumba. Akayafunika makerubi kwa dhahabu.
1 Wafalme 6:27-28 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akayaweka hayo makerubi katika nyumba ya ndani; na mabawa ya makerubi yakanyoshwa, bawa la moja likafika ukutani huko, na bawa la kerubi la pili likafika ukutani huko; mabawa yao yakagusana katikati ya nyumba. Akayafunika makerubi kwa dhahabu.
1 Wafalme 6:27-28 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Aliwaweka makerubi hao ndani ya Patakatifu pa Patakatifu pa Hekalu, mabawa yake yakiwa yamekunjuliwa. Bawa la kerubi mmoja liligusa ukuta mmoja, wakati bawa la yule mwingine liligusa ukuta mwingine, nayo mabawa yao mengine yaligusana katikati ya chumba. Akafunika wale makerubi kwa dhahabu.